linaloongozwa na Mch Linde lilijaa watu hata kukawa hakuna sehemu ya kukaa. kwaya mbalimbali ziliimba katika tamasha hilo. kwaya hizo ni kama Revival Magomeni, Kwaya ya watoto Magomeni, Kwaya ya diodoxer ya Magomeni Christ Boyz band ya Magomeni TAG na kulikuwepo na kwaya ya wenyeji kwaya kutoka Msasani TAG, kwaya ya EAGT Kigogo kwaya ya TAG Tandale kwa Mch Mshama, na waimbaji binafsi kadha wa kadha.
|
Mgeni rasmi akiingia kanisani |
|
Mc wa Tamasha hilo ndugu Tony akicheza |
|
Mr& Mrs Mwakibuti ambaye alikuwa mgeni rasmi mchungaji Linde |
|
watu wakiwa wamejaa mpaka nje ya kanisa |
katika Tamasha hilo mgeni lasmi alikuwa ni Makamu mkurugezi CA's jimbo la mashariki Ndugu Joseph Mwakibuti. ambapo lengokubwa ilikuwa ni kuchangia ununuzi wa viti vya kanisa hilo